Listen to Podcast conversations

0 Comments

Youth and Sex: Je, wafahamu haya wewe kama kijana ama msichana? What really matterz?!

Je wewe ni mazazi au mwanafunzi/mtoto? Kama hivyo basi haya maongezi yanakuhusu! Nikiwa na mgeni wetu leo Dr. Minja katika episode hii ya Youth and Sexual health, tutaongelea vitu ambavyo vina sababisha wazazi wasiweze kuongea na watoto wao kuhusu elimu hii ya afya ya uzazi. Pia tutagusia kwanini ni muhimu wazazi kuwaandaa watoto wao juu ya magonjwa yanayoweza kupatwa katika kujamiiana bila mpango ama bila kinga.
  1. Youth and Sex: Je, wafahamu haya wewe kama kijana ama msichana?
  2. How healthy is your Mental Health? This is for the husbands, brothers, partners etc
  3. Finding your PURPOSE in life?
  4. Thinking about dating a single mom? Here is what to expect!
  5. SEASONAL lovers
Categories:

Leave a Reply


%d bloggers like this: